baada ya kuzindua mradi wa hadi Dola Bilioni 500 kuwekeza kwenye teknolojia ya ChatGPT. Ufaransa, inatarajiwa kutumia kongamano hilo litakalohudhuriwa na wajumbe 1500 kutoka mataifa zaidi ya 100 ...
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Mkama Bwire. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeandika historia kwa kuanza rasmi utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la Kidunda ...
Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) umeanzisha Mradi wa Tuinuke Pamoja, wenye lengo la kuondoa umasikini, kuongeza ushiriki wa kifedha, uongozi, na kutumia mitandao ya kijamii kama nyenzo ya kuwapa ...
Tabora. Zaidi ya Sh15 bilioni zimetengwa kutekeleza mradi wa ujenzi wa mizani wa kupima uzito wa magari utakaowabana madereva wanaopitisha kinyemela mizigo mikubwa katika eneo la Kizengi lililopo ...
Awamu ya kwanza ya mradi inajumuisha barabara za Morogoro kutoka Kimara hadi Kivukoni-Kimara Gerezani na Kimara Morocco, ambayo ilianza kutoa huduma mwaka 2016 baada ya kuzinduliwa na Rais wa wakati ...
“Naipongeza REA kwa kuanza kutekeleza Mradi huu, nawapongeza pia kampuni ya Oryx Gas kwa kuwa, ina mtandao mkubwa wa utoaji wa huduma ya kujaza mitungi ya gesi hata baada ya kuisha, ombi langu tu ...